Vyakula rahisi vya kujifunza mabachela mwaka 2022/2023
Vyakula rahisi vya kujifunza mabachela mwaka 2022/2023;-Here’s you will get all information about Uwezekano wa kula nyama na ugali mchana, na hata usiku.
- Nyama ya mchuzi inahitaji viungo vichache
- Ugali needs your strength and estimation calculations to cook it properly
- Mchicha kupika ni kama kunywa maji tu.

Vyakula rahisi vya kujifunza mabachela mwaka 2022/2023
see also Mapishi ya Vyakula mbalimbali 2022/2023
Cooking is not as difficult as you think. The important thing here is to know the ingredients you need to make a certain beer that you and your family want to enjoy.
Vyakula rahisi vya kujifunza mabachela mwaka 2022/2023
Katika upishi pia, siyo lazima kuanza kwa kupika vyakula vinavyohitaji mambo mengi. Vipo baadhi ya vyakula vinavyohitaji viungo vitatu tu, pengine hata viwili au kimoja na ukapata mlo wa maana na wenye virutubisho vyote.
Haya ni baadhi ya mapendekezo ya vyakula kutoka kwa timu ya Jiko Point kwa mabachela wanaoanza kupika:-
Nyama ya mchuzi

Nyama ya mchuzi
see also Jinsi Ya Kulipia Vifurushi vya Azam Tv 2022 Tigo Airtel Vodacom
Ugali wa sembe
Kila mtu ana njia zake za mapishi ya ugali. Hata hapa tutumia njia ambayo ni maarufu kwa wengi.
Weka unga wa sembe kwenye bakuli na kisha changanya kupata kimiminika. Weka maji jikoni na subiri yachemke.
Yakishachemka, weka kimiminika cha unga huku ukikoroga, kama unatengeneza uji. Kisha koroga hadi uji wako uanze kutokota.
Acha utokote kama dakika tano hivi kisha anza kuweka unga mdogo mdogo.
Songa ugali wako ukitumia nguvu na kuhakikisha hakuna bonge la unga linalobaki bila kusongwa. Hesabu kubwa hapa ni za makadirio ya unga na maji uliyoweka ili usije kuwa na ugali mgumu sana.

Ugali wa sembe
visit also Vunja Bei Tanzania Shopping Centers, Dar Es Salaam.
Unaweza kula ugali na nyama yako ya mchuzi na maisha yakaendelea.
Namna ya kupika Mchicha
Hili pishi ni moja ya mapishi rahisi kabisa ambayo unaweza kuyafanya ndani ya dakika chache tu. Ni kama kunywa maji. Unatakiwa kuchambua mchicha wako na kisha kuuosha vizuri kuhakikisha hauna mchanga unaoweza kuwakwaza walaji.
Hatua inayofuata ni kukaanga vitunguu na kisha kuweka mchicha wako kwenye sufuria inayokaanga vitunguu.
Geuza mchicha huo kwa kama dakika tatu hivi na ukishaona umenyauka, weka chumvi na kisha endelea kugeuza.
Wengine huongeza hoho, karoti, lakini hayo ni maamuzi tu.
Angalia pia facebook how to cook delicious food
Kwa haraka, kama una jiko na masufuria, utakuwa unahitaji mafuta ya kupikia, nyanya, hoho, vitunguu, nyama, karoti, mchicha na unga. Gharama yake kwa mlo wa mtu mmoja, inaweza isizidi hata Sh 5,000.
Kazi kwako sasa. Unakisingizio gani cha kutokupika mwaka 2022?.
visit also List of DStv Bomba Channels and Price in Tanzania 2022/2023
Tags: bokoboko la mchele kwa mtoto., jinsi ya kupika maharage yaive haraka, jinsi ya kupika pilau ya viazi, jinsi ya kupika wali kwenye gesi, jinsi ya kupima maji ya wali, mapishi matamu, mboga ya maharage, viungo vya pilau, Vyakula rahisi vya kujifunza mabachela mwaka 2022/2023
Comments (1)
Trackback URL | Comments RSS Feed
Sites That Link to this Post