Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video
Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video;– Here’s you will get all information about KLABU ya Yanga, leo Septemba 27, 2022 imemtangaza Andre Matine kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutoka klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.

Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine
see also Qualified Africa FIFA world cup 2022 in Qatar | world cup qualified 2022 europe
Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video
“Niliulizwa kwa nini nimeichagua Yanga, jibu langu lilikuwa ni rahisi tu, kwa sababu Yanga ni klabu kubwa Afrika,” amesema Andre Mtine, raia wa Zambia aliyetangazwa kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa Yanga.
See also Fahamu Tetesi za Usajili Yanga 2022/2023 Transfer Rumors
“Huu ni muendelezo wa ajenda yangu kubwa katika uongozi wangu ambayo ni kuimarisha klabu kiuchumi, kupitia App na tovuti hii kunafungua mlango kwa mashabiki na wapenzi wa Young Africans SC kuweza kujisajili kuwa shabiki au mwanachama rasmi,” amesema Hersi Ally Said, Rais wa Yanga.
- Yanga Hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023
- Fahamu Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu NBC Premier League 2022/2023
Pia Klabu ya Yanga leo imezindua tovuti na App rasmi ya klabu hiyo ambayo itarahisishia wanachama, mashabiki na wapenzi wao kupata taarifa na maudhui mbalimbali kuhusiana na timu yao.
Jinsi Yanga Ilivyomtambulisha CEO Mpya Andre Matine

Jinsi Yanga Ilivyomtambulisha CEO Mpya Andre Matine
Tags: Jinsi Yanga Ilivyomtambulisha CEO Mpya, Wazindua App Ya Mashabiki – Video, Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine
Comments (1)
Trackback URL | Comments RSS Feed
Sites That Link to this Post